Video Mpya

VideoMPYA: Kutoka USA Mtanzania Modeste amenifikishia hii inaitwa ‘Hatujafika’

on

Leo December 10, 2018 Karibu kuitazama Video mpya ya Gospel ya Mtanzania anaeishi nchini Marekani Modeste Kuhani wimbo unaitwa ‘Hatujafika’ ikiwa imeshutiwa nchini New York, Director ni GM. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

“MZIKI NDIO ULINITOA ILA KIPAJI CHANGU NI MPIRA” ALIKIBA

Soma na hizi

Tupia Comments