Top Stories

Lowassa ashuhudia Mbowe na Matiko wakipelekwa Gerezani (+video)

on

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini DSM ambapo ameshuhudia jinsi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko wakipelekwa Gerezani baada ya kufutiwa dhamana mahakamani hapo.

Hii hapa chini Video ya Lowassa akiwa Mahakamani leo ambapo ameshuhudia tukio la Mbowe na Matiko wakipelekwa Gerezani.

FULL VIDEO: MBOWE NA MATIKO WAKIPELEKWA GEREZANI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

AIRBUS CANADA WASEMA HII NDIO NDEGE MPYA YA TANZANIA, YA KWANZA AFRIKA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments