Top Stories

Walimu wanaodai Bilioni 1 wampokea Waziri na DC Muro kwa mabango (+video)

on

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Walemavu, Jenister Mhagama amepokelewa na mabango akiwa na DC wa Arumeru Jerry Muro na Walimu wa Chuo kikuu cha Mount Meru wakilalamikia malimbikizo ya mishahara yao ya zaidi ya Miezi 10 yenye thamani ya Bilioni 1.

Madai hayo yakamlazimu Waziri Mhagama kupiga simu na kutoa maagizo kwa team yake iliyoko Makao Makuu “Nimekutana na Wafanyakazi wengi hapa lete team kesho isaidiane na team ya Wilaya mkutane na Wafanyakazi, kama ni suala la Chama cha Wafanyakazi basi waje, kama ni Sheria ifuatwe”

JPM “LOWASSA WASHAURI UNAOWAONGOZA LA SIVYO WATAISHIA GEREZANI”, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

WAITARA AKASIRISHWA MBELE YA WAZIRI MKUU “HAWA SAIZI YANGU NAANZA NAO”, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments