Top Stories

“Dhamana ni takwa la Kisheria si la Kisiasa, kuitoa Weekend ni ngumu”

on

Leo October 11, 2018 Ninaye Mwanasheria John Kyashama ambae pia ni Mchungaji wa Kanisa la Healing Ministry ambapo leo anatupa ufafanuzi kuhusu ishu ya dhamana ya Polisi kwa Mtuhumiwa pale tu anapokamatwa lakini pia pale inapotokea Mtu kakamatwa weekend.

John Kyashama anatuambia dhamana kutolewa siku za Weekend kuna ugumu na moja ya sababu ni kuwa Mamlaka zinazotakiwa kumtambulisha Mtuhumiwa kama Ofisi ya Mtendaji siku hizo unakuta hazifanyi kazi.

LIVE MAGAZETI: Kimenuka mabasi ya mwendokasi, Msijamiiane na Wanaume wasiotahiriwa

Soma na hizi

Tupia Comments