Habari za Mastaa

‘Mkataa kwao Mtumwa’ Miss Tanzania arudi kwao bila gari aliyoshinda

on

Leo October 7, 2018 Miss Tanzania 2018\2019 ametembelea Shule aliyoisoma ya Green Valley iliyopo mkoani Arusha kwa ajili ya kurudisha shukrani lakini pia kuzindua Kampeni yake ya kuhamasisha watoto kusoma.

Wengi Mkoani Arusha walipenda wamuone na gari yake aliyoshinda ambayo kabla ya kukabidhiwa ilizua mjadala mtandaoni. Jibu la kwa nini hakwenda na gari lipo kwenye video hapa chini.

BREAKING: Kichaka chateketeza Hotel ya Star Com kwa moto, Kamanda azungumza

Soma na hizi

Tupia Comments