Top Stories

Waziri Jafo “Ubora wa Shule za Serikali wasababisha Binafsi kufungwa” (+video)

on

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jaffo amesema kutolewa kwa elimu Bora kwa shule za Sekondari za Serikali kumesababisha kuanza kufungwa kwa baadhi ya shule binafsi ambazo zilianzishwa pasipo kuzingatia ubora.

Ikiwa ni katika zoezi la kutoa tuzo za Elimu kwa mwaka 2019 Waziri Jaffo amesema miongoni mwa shule 100 Bora za Sekondari katika matokeo ya kidato cha nne zipo shule 64 za Serikali kati yake 52 zikiwa ni shule za Kata.

MAGUFULI ATOKA IKULU NA MKEWE, ATINGA NYUMBANI KWA MZEE MAHIRI ALIEACHA MKE

Soma na hizi

Tupia Comments