Top Stories

Rais Magufuli “Jumatatu kazini kama kawa, Sijasema MPUMZIKE nimesema OMBOLEZENI” (+video)

on

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Gerson Msigwa leo September 23, 2018 ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa ya ikulu juu ya siku ya Jumatatu kama watu wataenda kazini au lah!.

Nanukuu alichoandika Msigwa “Napenda kutoa ufafanuzi kuwa Jumatatu tarehe 24 Septemba, 2018 ambayo ni siku ya mwisho ya maombolezo ya Kitaifa, itakuwa ni siku ya kazi kama kawaida.‬ ‪Mhe. Rais Magufuli ametangaza siku 4 za MAOMBOLEZO na sio MAPUMZIKO”.

BREAKING: Tazama Fundi Mkuu wa MV. Nyerere ameokolewa akiwa HAI

Soma na hizi

Tupia Comments