Top Stories

Katambi alivyoingia kupambana na garage bubu Dodoma

on

Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini Patrobas Katambi ameamua kuingia mtaani kupambana na Garage bubu, ambazo zipo kwenye maeneo yasiyo rasmi ndani ya Jhilo na kufanikiwa kukamata watu saba waliokuwa wanafanya shughuli hizo bila kuwa na vibali maalum.

Msaada wa thamani zaidi ya Million 5 aliopokea DC Katambi Dodoma

Soma na hizi

Tupia Comments