Top Stories

Mwinyi aushukia waraka Kinana na Makamba, apongeza kupotezewa “mambo ya kito” (+video)

on

Mstaafu Mwinyi ameuzungumzia waraka ulioandikwa na Makatibu Wakuu Wastaafu Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba kwenda kwa Baraza la Viongozi Wastaafu, Mzee Mwinyi amesema huo ni Utoto.

Mzee Mwinyi amepongeza majibu yalitolewa na Katibu wa Baraza hilo Mzee Pius Msekwa na kusema walioandika waraka huo wameshindwa kufuata katiba na taratibu za chama na kwamba viongozi wastaafu hawawezi kupoteza muda wao kwa masuala ya kitoto.

 

MSTAAFU MWINYI AFUNGUKA PICHA ALIYOIPOST MAKAMBA “KWA KWELI SIKUIPENDA”

Soma na hizi

Tupia Comments