Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Top Stories

“Serikali inataka Wakurugenzi wasimamie Uchaguzi, wafika Mahakamani ” (+video)

on

Mahakama ya Rufani imeanza kusikiliza rufaa iliyokatwa na Serikali ya Tanzania kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania iliyobatilisha sheria inayowapa mamlaka Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia Uchaguzi Mkuu.

AyoTV na millardayo.com imezungumza na mrufani Bob Chacha Wangwe ambapo amesema upande wao upo tayari kupokea maamuzi yatakayotolewa na Mahakama hiyo na kama hawajaridhika watakata rufaa.

Mei 10, 2019  Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Atuganile Ngwala alitoa uamuzi wa kubatilisha sheria hiyo kwenye kesi ya msingi namba 6 ya mwaka 2018 iliyofunguliwa na Bob Chacha Wangwe ambaye ni mtoto wa marehemu Chacha Wangwe.

MWANDISHI ALIEDAIWA KUTEKWA ANASHIKILIWA NA POLISI RPC ATHIBITISHA

Soma na hizi

Tupia Comments