Top Stories

Jamaa ameng’atwa na kichwa cha nyoka aliyekufa

on

Leo June 13, 2018 Mwanamume mmoja katika jimbo ya Texas, Marekani ameponea chupuchupu kufariki baada ya kuumwa na kichwa cha nyoka ambaye alikuwa amemkata na kumuua.

Mwanamume huyo, alikuwa akifanya kazi shambani na alipomuona nyoka huyo wa urefu wa futi nne (1.25m) na alimkata kichwa kwa panga.

Alipouchukua mzoga wa nyoka huyo akautupe, kichwa cha nyoka huyo kilimuuma.

Ililazimu madaktari kumdunga sindano ya vipimo 26 vya dawa ya kuua sumu kumuokoa.

Maneno ya Rais Magufuli kwa TB Joshua katika Birthday yake

Soma na hizi

Tupia Comments