Top Stories

Dereva azungumza Bibi na Mtoto walivyocheza ngoma juu ya gari ‘UTUPU’

on

Leo June 5, 2018 Nakusogezea stori kutoka Tanga ambapo kutokea huko ilisambaa video ikionyesha Bibi pamoja na Mtoto mdogo aliyekutwa akiwa utupu wakiwa katika basi la kampuni ya TAWAKAL  mkoani Tanga nakuzua taharuki.

AyoTv na millardayo.com imefanya Exclusive Interview na kondakta na dereva wa gari hilo ambapo ametueleza ukweli wa tukio hilo huku akisema baada ya gari kuharibika walilala kwenye gari ndipo usiku walisikia ngoma zikichezwa juu ya gari.

Shilole asema aliyezaa naye amefia kwenye mkeka

 

Soma na hizi

Tupia Comments