Top Stories

Waziri Ummy ajigamba “Tanga hakuna Mbunge ni Mimi tu! sitanyamaza” (+video)

on

Mbunge wa Viti Maalum Jimbo la Tanga Mjini na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema yeye ndiye Mbunge kivuli na hakuna Mbunge mwingine katika Jimbo hilo kwani yeye ndiye anayejua na kushughulikia kero za Wananchi kwa nafasi kubwa licha ya kuwa yeye ni Mbunge wa Viti Maalum na anashindwa kufahamu Mbunge aliyopo anafanya kazi gani.

Waziri Ummy ameyasema hayo wakati akikabidhi vifaa vya ujenzi wa vyumba vya madarasa kwa Shule tano za Sekondari za Jiji la Tanga ambavyo ni matofali 3500, mifuko 250 ya saruji, na Milioni tano kwa kila shule na kusema hajali watu wanaongea nini juu yake na yeyote anayedhani anahitaji madaraka basi na yeye ajitokeze katika ujenzi huo wa vyumba vya madarasa.

LIVE MAGAZETI: Sakata la CAG Zitto, Ndugai wanyukana, Vigogo wakwepa kwenda jela

 

Soma na hizi

Tupia Comments