Top Stories

Ndalichako “Maria na Consolata ni Mashujaa wa Taifa” ..kataja sababu

on

Leo June 6, 2018 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako anaongoza mazishi ya Mapacha walioungana Maria na Consolata mkoani Iringa amabapo amezungumza na waandishi wa habari kwa dakika chache na kukitaja kinachowafanya Maria na Consolata kuwa mashujaa wa Taifa.

Prof. Ndalichako alivyomwaga machozi msiba Maria na Consolata (+video)

 

Soma na hizi

Tupia Comments