Top Stories

Mikoa inayoongoza kwa Kilimo cha bangi Tanzania yatajwa (+video)

on

“Tunapambana na dawa zinazoingia lakini zinazozalishwa ndani ya Nchi ni tatizo kubwa, Mikoa inayoongoza kwa kilimo na matumizi ya bangi ni Mara, Tanga, Morogoro, Arusha,Kagera na Ruvuma ila mirungi nayo imeendelea kutumika na watu wa rika mbalimbali ktk Taifa letu”-Waziri Mhagama

‘MADONGO’ MATANO YA MAGUFULI KWA CAG “OFISI YAKE NI CHAFU, HUTAKIWI BISHANA, SIKUTISHI”

Soma na hizi

Tupia Comments