Premier Bet
TMDA Ad

Burudani

Anaedaiwa kumpiga Miss Shinyanga afunguka “alitumia manguvu” (+video)

on

Moja kati stori ambayo imeshika headline jana July 13, 2019 ni kutokea Mkoani Shinyanga ambapo Mshiriki wa Miss Shinyanga amedaiwa kupigwa na Waandaji wa Shindano hilo akidai hela yake ya  nauli.

AyoTV na millardayo.com imemtafuta Meneja Mkuu wa Makumbusho Entertainment, George Foda anayedaiwa kumpiga mrembo huyo.

KAMANDA AZUNGUMZIA MISS SHINYANGA KUPIGWA AKIDAI NAULI

Soma na hizi

Tupia Comments