Top Stories

Ushauri wa Mbunge Kingu kwa Serikali ya Magufuli “kuna mahali tunakwama”

on

Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kuchangia mapendekezo yake katika mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali pamoja na mwongozo wa kuandaa mpango wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/20.

“Tulianzisheni tuko vizuri” DC Chunya akijibu kero kubwa za Wananchi wake

Soma na hizi

Tupia Comments