Top Stories

Jikumbushe na hii ya JPM: Mwaka 2019 umepanga kuzaa Watoto wangapi? (+video)

on

Leo January 2, 2019 Dullah TZA amekuandalia makala fupi juu ya kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli aliyoitoa mwaka 2018 na ikawa gumzo nchini.

Ndani ya AyoTV na millardayo.com utamtazama President Magufuli akitoa kauli juu ya Watanzania kuzaliana kwa wingi, pia utawasikia na Viongozi wengine akiwemo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Mbunge Musukuma na wengine.

BEI YA MIGEBUKA NA DAGAA WA KIGOMA NI SAWA BURE UNAZOA TU!

Soma na hizi

Tupia Comments