Top Stories

“Nitawataja waliotaka kunipa rushwa, nimelala sero kwa ajili yenu” Musukuma (+video)

on

January 5, 2018 Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma amefanya ziara kwenye Jimbo lake kuongea na Wananchi na kuwapatia Baadhi ya mahitaji kabla ya kwenda Bungeni mwisho mwa mwezi January.

Musukuma amesema atawataja wote Madiwani wanaokwamisha shughuli za maendeleo kwa maslahi yao binafsi, “nimelala sero kwa ajili ya Watu wangu, nimepewa rushwa nikakataa nitawataja”

“UNAACHA JERO UNAENDA KUBET NI MARUFUKU JIMBONI KWANGU” MUSUKUMA

Soma na hizi

Tupia Comments