Top Stories

TOP 10: MAMBO KUMI USIYOYAJUA KUMHUSU JAKAYA KIKWETE

on

Leo October 9, 2018 Nakusogezea Mambo kumi ambayo inawezekana hayafahamu kumhusu Rais Mstaafu Dr. Jakaya Kikwete ambaye amezaliwa Tarehe 7 oktoba Pamoja na viongozi mashuhuri dunian kama Vladmir Putin wa Urusi, na Askofu Desmond Tutu.

2. Ni Kiongozi wa Sita mwenye ushawishi zaidi Africa, mpaka sasa ana wafuasi zaidi Milioni moja katika mtandao wa twitter.

3. Ndiye Kiongozi aliyechangia kiasi kikubwa kupatikana kwa aman katika nchi za Burundi na DRC akiwa waziri wa mambo ya nje wa Tanzania.

4. Kama ilivyo kwa Rais Mstaafu Obama wa Marekani, Mstaafu Kikwete ni mchezaji mzuri wa mpira wa kikapu alichezea timu ya shule katika mashindano mbalimbali

5. Ukiacha mwalimu Nyerere, Mstaafu Kikwete ndiye kiongozi mwenye Tuzo nyingi zaidi za Heshima. Ameshapata tuzo zaidi Ya Tano za heshima toka aanze muhula wake wa kwanza mwaka 2005.

Kuyafahamu yote Kumi bonyeza PLAY hapa chini.

BREAKING: Rais Magufuli awasimamisha kazi Makamanda wa Polisi wanne

Soma na hizi

Tupia Comments