Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Majeruhi sita wa ajali ya Morogoro wafariki Muhimbili (+video)

on

Leo August 14, 2019 Majeruhi 6 wa ajali ya moto Morogoro waliokuwa wakitibiwa Muhimbili wamefariki “Tunasikitika kati ya Majeruhi 38 tuliokuwa nao mpaka jana, tumeondokewa na 6 na tumebaki na wengine 32, kati yao 15 wanajitambua na 17 wako ICU hawajitambui”.

DEREVA WA LORI AMUOGOPA MAGUFULI TAZAMA ALIVYOJITETEA “NILIKUWA NAPITA TU”

Soma na hizi

Tupia Comments