Burudani

FULL HD: Alikiba sasa hivi ni mwendo wa Yeeeee babaaaa (+video)

on

Usiku wa December 30, 2018 King wa Bongo Fleva Alikiba amekiwasha katika ukumbi wa Next Door. Alikiba alisindikizwa na Mwana FA, Billnass, Barnaba, Mr Blue, The Mafik pamoja na kundi lake la Kings Music. Hii hapa show ya Alikiba bonyeza PLAY hapa chini.

LIVE :FUNGA MWAKA NA KING KIBA DAR ES SALAAM

Soma na hizi

Tupia Comments