Top Stories

Tazama Masanja Mkandamizaji akiombea “jini makata toka” (+video)

on

Ni katika mkutano wa injili unaofanyika katika Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma Kanisa la EAGT ambapo Masanja Mkandamizaji ni moja wa washiriki wa huduma katika Mkutano huo ambapo Masanja alitumia frusa hiyo kuwafanyia maombi wagonjwa na wenye shida mbalimbali.

LIVE: OMBI LA TUNDU LISSU KUZUIA MBUNGE MTEULE ASIAPISHWE LATUPILIWA MBALI

Soma na hizi

Tupia Comments