Habari za Mastaa

Pale MC Pilipili anapopata nafasi ya kujisifia anamkaribia Mhaya ‘BMW, nyumba’

on

Leo August 15,2018 tunayo story kutokea kwa Mchekeshaji wa Tanzania, MC Pilipili ambapo amesema wachekeshaji wanaomiliki gari aina ya BMW ni wawili tu.

MC Pilipili amesema wasanii pekee wanaochekesha ambao wanamiliki gari la aina hiyo ni yeye na Masanja pekee nchini.

“Hivyo mtu anaweza kudhani kwamba ukiwa comedian unaweza kumiliki BMW ama nyumba kama yangu pale Madale, hivyo mtu anasema anataka kuwa comedian kwa sababu ya kutaka apate kitu,”.

LIVE MAGAZETI: Fred Lowassa ajitoa Monduli, Uteuzi wa Kalanga, Waitara waipasua CCM

Soma na hizi

Tupia Comments