Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Wananchi kula nyamapori Christmass na Mwaka Mpya (+video)

on

Leo October 21, 2019 Wizara ya Maliasili na Utalii imesema iko kwenye mchakato wa mapitio ya kanuni ili kuwezesha uvunaji na uuzaji wa Nyamapori katika maduka ya Nyama.

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii,Prof Adolf Mkenda amesema hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu mchakato huo utakua umekamilika.

RC MBEYA “UNAKAIDI AGIZO LA RAIS MAGUFULI NIKIWEPO, UTAHAMA NA GARI LA JESHI”

Soma na hizi

Tupia Comments