Top Stories

Magufuli awanaga “Walimdhurumu huyu Mzee, mtunzeni Mkewe, shetani anaingia” (+video)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo ametoa pole kwa familia ya Mwanasiasa Mkongwe nchini James Mapalala aliyefariki dunia juzi tarehe 23 Oktoba, 2019 katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Herbert Kairuki Jijini DSM alikokuwa akipatiwa matibabu.

MTAZAME RAIS MAGUFULI AKISALI KWA UNYENYEVU “MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE”

 

Soma na hizi

Tupia Comments