Top Stories

Lema “Ni hatari kushabikia mgogoro wa CCM, unasali unashtakiwa” (+video)

on

Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amezungumza na vyombo vya habara na kusema ni hatari sana kushabikia mgogoro uliopo ndani ya CCM na kazi ya mpinzani kujirekebisha ili kiweze kutawala vizur pamoja nakuilalamikia Tume ya Uchaguzi NEC kwa kushindwa kusimamia vizuri zoezi la uandikishaji wa Wananchi katika daftari la kudumu la kupika kura.

MAPYA KUTEKWA KWA MO DEWJI, MAHALAMA YARUHUSU WATU WANNE WAKAMATWE

Soma na hizi

Tupia Comments