Leo September 6, 2018, AyoTv inakukutanisha na habari ya kushangaza kutokea Mkoani Kagera ambapo Kaimu Mganga Mkuu wa Hospital ya Mgana Dr. Eliud Nyonyi anaelezea tukio la operation ambayo wameifanya hivi karibuni na kukuta vitu vya ajabu katika tumboni la mgonjwa.
LIVE MAGAZETI: Makonda ‘achokwa’, Cheche za JPM, Mwanafunzi ajinyonga kisa mapenzi