Top Stories

Kauli aliyoitoa Lowassa leo kwenye Kongamano la kumbukumbu ya Mwl Nyerere

on

Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa amempongeza Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally kwa kauli aliyoitoa hivi karibuni ya kuwa serikali ya 2010 haikuwa na uhalali kisiasa.

 Lowassa ametoa kauli hiyo wakati akichangia kwenye mjadala wa Miaka 19 ya kumbukizi ya kifo cha hayati Mwalimu Julius Nyerere iliyofanyika Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) ambapo wasomi mbalimbali walishiriki kwenye mjadala huo.

Nimpongeze Katibu Mkuu mpya wa CCM, nimezisikia cheche zako, nasubiri Uchaguzi wa 2020 kama utarudia kauli yako kuhusu uchaguzi wa 2010. Pia nawaomba Chuo Kikuu msikae kimya kama ilivyokuwa wakati  wetu kwa matatizo yanayotokea nchini“, Lowassa 

LIVE MAGAZETI: Polisi wamsaka MO Dewji Bahari ya Hindi, Mkewe apewa ulinzi, CCM kuna majizi

Soma na hizi

Tupia Comments