Top Stories

Waislam wamuunga mkono RC Mbeya kuchapa viboko Wanafunzi

on

Waislamu Wilayani Kahama wakiongozwa na Sheikh Mkuu wa Wilaya hiyo Omary Damka waunga mkono hatua ya Rais Magufuli kwa kumuunga mkono Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwa adhabu aliyoitoa kwa wanafunzi baada ya kuchoma shule

Akizindua msikiti Masjid Ummulmukhtari uliojengwa na Jumuiya ya Istiqumaa international Community awewaasa wananchi kutumia nyumba za ibada kulinda amani na utulivu uliopo nchini.

DIWANI WA CHADEMA “MAGUFULI KUSUDI LA MUNGU, MHESHIMU KAMA MUMEO”

Soma na hizi

Tupia Comments