Habari za Mastaa

Dullvani anajivunia King Majuto na Joti mafanikio ya Comedy (+video)

on

Msanii wa Vichekesho, Abdallah Sultan maarufu kama Dullvani amezungumzia jinsi alivyopata wazo la kuchekesha kupitia mitandao ya kijamii.

“Ghafla nilikuwa chumbani, ambapo before kufanya comedy hii nilikuwa nafanya video cover za wasanii kwa kutumia idea zangu ambapo nilikuwa napata viewers wengi Instagram lakini ilikuwa hainilipi licha ya kutoa hela zangu, hivyo baadaye nikaja na style yangu ambayo inafanya vizuri,”.

Pia Dullvani amezungumzia thamani ya sanaa ya uchekeshaji kwamba ina mafanikio makubwa ndio maana Wasanii wakongwe wamepiga hatua.

ALIKIBA KAFIKA MAZOEZI, KOCHA KAFUNGUKA KAMALIZA KUTAFUNA KARANGA SASA APIGE MLUZI

Soma na hizi

Tupia Comments