Top Stories

BREAKING: Ajali ya Treni na Scania imetokea Dodoma, inadaiwa kuna vifo (+video)

on

January 9, 2019 nakusogezea taarifa ya ajali inayohusisha gari aina ya Scania T 483 BLP pamoja na Treni imetokea katika eneo la Hazina Mkoani Dodoma, taarifa za awali kutoka kwa Mashuhuda zinadai Mtu mmoja amefariki ambaye alikuwa ni abiria wa kwenye gari. AyoTV na millardayo.com inaendelea kufuatilia zaidi.

RC MWANRI NA WAKANDARASI WAHINDI “SOMA HUKO INJINIA HUU NI MKOROGO”

Soma na hizi

Tupia Comments