Top Stories

“Neno Krismasi kwenye Biblia halipo” ifahamu vizuri sikukuu hii (+video)

on

Kutana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la River of Healing John Kyashama ambapo leo December 24, 2018 anatupa maana halisi ya Krismasi na anatuambia neno Krismas kwenye Biblia halipo ila mchakato wa kufikia Krismasi upo katika Biblia.

LIVE: Waziri Mkuu Mstaafu SUMAYE anaongea na waandishi wa Habari

Soma na hizi

Tupia Comments