Top Stories

Mzee balaah amelipwa na Magufuli anataka aongeze Mke “nilienae kazeeka” | Mkewe atema cheche (+video)

on

Baada ya Mradi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda mpaka Chongoleani mkoani Tanga kufunguliwa baadhi ya Wananchi wenye maeneo ambayo yalipitiwa na Mradi huo walilipwa fidia zao na Serikali ili kupisha ujenzi wa Mradi huo.

Mmoja wa Wazee waliolipwa ni Mzee Mwinjuma Waziri ambaye aliahidi kuwa pindi atakapolipwa fedha zake jambo la kwanza ataoa Mke wa pili mwenye umri mdogo ili aweze kumfariji kwani kwa sasa Mke aliyenaye amezeeka na kuna baadhi ya mambo anashindwa kuyafanya.
WAZIRI KAIRUKI KWENDA CHINA ‘KUUZA’ MIRADI MADINI | “KILA ARDHI TZ INA MADINI”, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments