Top Stories

BREAKING: Rais Magufuli ‘amtumbua’ Mkurugenzi wa ‘Kikokotoo kipya’

on

Leo December 28, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Dkt. Irene Isaka.

Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa SSRA utafanywa baadaye.

Dkt. Irene Isaka atapangiwa kazi nyingine.

BREAKING: Rais Magufuli akutana na Vigogo wa TUCTA, NSSF, PSSSF NA SSRA – Ikulu DSM

Soma na hizi

Tupia Comments