Top Stories

Bashungwa apokelewa kwa vilio Arusha “nitarudi baadae” (+video)

on

Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa amepokelewa kwa malalamiko katika kiwanda cha Sunflag Arusha baada ya kupokea malalamiko ikiwemo kulipwa mishahara midogo, kufanya kazi muda wa ziada ambapo Waziri huyo ameagiza watumishi wa kiwanda hicho kufuata sheria za kazi.

JIKO LINALOTUMIA SPIRIT “CHAI INAIVA DAKIKA MBILI”

Soma na hizi

Tupia Comments