Top Stories

Musukuma na mapya: Kinana na Makamba “wanatukana kagroup kawapiga deal” (+video)

on

Mbunge wa Geita Joseph Kasheku maarufu Musukuma ameujibu waraka wa waliokuwa Makatibu Wakuu CCM Yusuph Makamba na Kinana amesema Wazee hao wanatakiwa kupuuzwa kwani kitendo hicho ni kinyume na katiba ya chama.

Mimi sipingani na Wazee Wastaafu wa Chama chetu kama kweli hawa ni Wazee na wanahitaji kuheshimika inakuwaje watoke public kwenye mambo ya chama mbona sisi walikuwa wanatu-guide hawa niwakwamisha maendeleo na wasijifiche kwa kimvuli cha Wazee kama wanarudi kuwa wanaharakati warudi tupambane wote sisi ni maarufu” Mbunge Musukuma

MBUNGE MILYA AWASHUKIA KINANA NA MAKAMBA “MWACHENI RAIS AFANYE KAZI

Soma na hizi

Tupia Comments