Burudani

Dakika 240, Show ya Alikiba ni baada ya mvua kubwa (+video)

on

Usiku wa November 24,2018 Staa wa Bongofleva King AliKiba amefanya Show katika Mji wa Kahama akiwa na Kundi la Kings Kiba Music na hii ikiwa ni mara yake ya nne kufika Kahama.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Video yenye Dakika 11.

CLOUDS YAWEKA WAZI SABABU ZA KUSITISHWA FIESTA DSM, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments