Top Stories

Rais Magufuli aumizwa na maneno ya Mama yake “Bora ningetangulia Mimi Monica akabaki”

on

Leo August 21, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewashukuru viongozi na wananchi wote walijitokeza kuungana na familia katika kumsindikiza Dada yake katika safari yake ya mwisho.

“Mmetuonesha upendo mkubwa sana na kweli ujio wenu na kuungana nasi katika tukio hili mmetufariji sana, asante sana kwa upendo huu na Mungu awabariki sana” bonyeza PLAY hapa chini kutazama yote aliyoongea Rais Magufuli ikiwemo jinsi alivyomueleza Mama yake Mzazi taarifa za msiba.

MACHOZI: Rais Magufuli akimuongoza Mama yake kuaga Mwili wa Monica

Viongozi Maarufu waliomzika Dada yake Rais Magufuli “Kikwete, Mwinyi, Mkapa, Odinga” na wengine (+video)

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments