Habari za Mastaa

Prof. Jay awavaa COSOTA “acheni uongo sijalipwa Milioni mia, amepewa P Funk”

on

Mbunge wa Mikumi ambaye pia ni Msanii wa Bongofleva Prof. Jay amewafungukia COSOTA katika ukurasa wake wa Twitter akiwataka kuweka kumbukumbu zao sawa juu ya yeye kulipwa Milioni 100.

“COSOTA mmekuja kwenye kikao cha Kamati ya Bunge na kusema uwongo kwamba mmenisimamia mimi PROFESSOR JAY nikalipwa sh. Milioni 100 kutoka UGANDA ukweli ni kwamba sijalipwa hata cent TANO na PESA Zote amelipwa P FUNK MAJANI chini ya usimamizi wenu wekeni vizuri hiyo kumbukumbu yenu” Prof. Jay

“UGUMU WA MAISHA NIKAAMBUKIZWA UKIMWI GEREZANI, NASUBIRI KIFO, NDUGU WOTE WAMEFARIKI”

Soma na hizi

Tupia Comments