Top Stories

Bei ya Migebuka na dagaa wa Kigoma ni sawa na bure unazoa tu! (+video)

on

Leo January 2, 2019 Ukizungumzia fahari ya Ziwa Tanganyika huwezi kuacha kutaja Dagaa wa Kigoma pamoja na samaki aina ya Migebuka wapatikanao katika Mkoa wa Kigoma.

AyoTV na millardayo.com imeweza kuzungumza na Afisa Uvuvi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji Azizi Daudi ili kufahamu kwa sasa bei ya dagaa wanaovuliwa katika Ziwa Tanganyika katika msimu huu.

KESI YA UHUJUMU UCHUMI ITAWAKUTA WATAKAOKIUKA MAAGIZO YA RAIS MAGUFULI

Soma na hizi

Tupia Comments