Top Stories

Rais Magufuli ateua Mkurugenzi wa PSSSF

on

Leo July 22, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Eliud Sanga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (Public Service Social Security Fund – PSSSF).

Kabla ya Uteuzi huo Sanga alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pension wa LAPF. Uteuzi wake umeanza rasmi July 21, 2018.

LIVE MAGAZETI: Fupa la Kitwanga na Mwigulu balaa, Askofu atikisha kwa utapeli

 

Soma na hizi

Tupia Comments