Top Stories

DC Chunya alivyozama porini kutatua mgogoro wa wakulima na wafugaji

on

Leo November 9, 2018 Mkuu wa Wilaya ya Chunya MaryPrisca Mahundi amefanikkiwa kutatua mgogoro wa wakulima na wafugaji katika Wilaya yake ambao ulisababishwa na baadhi ya Wananchi kumili mifugo mingi.

DC MaryPrisca ametenganisha eneo la Wakulima na la wafugaji ili kuondoa migogoro hiyo katika eneo la Paris ambalo ndilo maalum kwa mifugo.

MWANDISHI ALIEJIBIZANA NA TRUMP IKULU AFUNGIWA

Soma na hizi

Tupia Comments