Top Stories

Mkamata wala rushwa Makao Makuu adakwa akiomba na kupokea Rushwa (+video)

on

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Diwani Athumani amesema Mamlaka hiyo imemkamata aliyekuwa Mchunguzi Mwandamizi Makao Makuu ya Taasisi hiyo jijini DSM kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa kwa wafanyabiashara wawili.

RAIS MAGUFULI AWAIBUKIA WANAJESHI KIJESHI, SALUTI KAMA ZOTE

Soma na hizi

Tupia Comments