Top Stories

Agizo la Waziri Mbarawa “Nawambia mimi sifungwi mtafungwa nyie”

on

Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa akiwa mkoani Dodoma ameagiza watumishi wote katika Wizara yake kuanza kutumia mfumo wa TEHAMA katika uendeshaji shughuli zake ikiwemo kukusanya mapato na ziachane na mfumo kawaida uliopo sasa ili kusaidia kuzuia ufujaji unaofanywa na baadhi ya watu wasiokuwa na uaminifu.

Theresia amuua Mpenzi wake alietaka kumuingilia kinyume na maumbile

 

Soma na hizi

Tupia Comments