Top Stories

Waziri Mkuu atembelea Kliniki ya biashara ya TANTRADE (+video)

on

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE Edwin Rutageruka alipotembelea Kliniki ya Biashara inayoratibiwa na TanTrade wakati wa Ufunguzi wa Maonesho ya Pili ya SIDO kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa Bombadia Mjini Singida.

Kliniki hii inashirikisha Taasisi za Serikali ikiwemo TRA, BRELA, TBS, FCC, MKEMIA MKUU, TFS, WMA, SIDO na imedhaminiwa na NBC.

Mkurugenzi Mkuu amemweleza Waziri Mkuu kuwa TanTrade kwa kushirikiana na Taasisi nyingine wanajipanga kupata ofisi ya kudumu kwa ajili ya kutoa huduma ya Kliniki ya Biashara.

WAISLAM WAMUUNGA MKONO RC MBEYA KUCHAPA WANAFUNZI VIBOKO

Soma na hizi

Tupia Comments