Top Stories

Mwaka mpya Wananchi wamlilia shida Kikwete afunguka sina hela saivi (+video)

on

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa mkesha wa kuupokea Mwaka Mpya 2019 akiwa kijijini kwake Msoga amewaburudisha Wananchi kwa kuwaandalia show ya Wasanii wa Band ya Sikinde pamoja na Wasanii wa kizazi kipya Bushoke na Dulla Makabila ambao wametumbuiza bure.

Wanachi wa Msoga wamechukua fursa hiyo ya kukutana na Mstaafu Kikwete kwa kumueleza shida zao na wengine kumsalimia na kumtakia heri ya mwaka mpya

BALAAH! MSTAAFU KIKWETE ALIVYOPIGA FATAKI NYUMBANI KWAKE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments