Michezo

Miaka 54 bado anacheza mpira

on

Kazuyoshi Miura mwenye umri wa miaka 54 amesaini mkataba na klabu ya daraja la nne ya Suzuka Point Getters ya Japan ili kuendelea na maisha yake ya uchezaji wa mpira wa miguu.

Miura alizaliwa Februari 26, 1967 ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Japani, aliwahi kucheza timu ya taifa ya Japan.

Alicheza kwa mara ya kwanza katika timu ya taifa ya Japani tarehe 26 Septemba 1990 dhidi ya Banglade. Miura alicheza Japani katika mechi 89, akifunga mabao 55.

MUSUKUMA “WALIOCHUKUA FOMU USPIKA WAJITOE, UNAUNDAJE SUKUMA GANG MIMI SIPO”

Soma na hizi

Tupia Comments