Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Miaka 66 ya uhuru wa Ghana.
Share
Notification Show More
Latest News
Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake
September 27, 2023
Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi
September 27, 2023
Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya
September 27, 2023
Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa
September 27, 2023
Mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa kukomeshwa kwa silaha za nyuklia
September 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Miaka 66 ya uhuru wa Ghana.
Top Stories

Miaka 66 ya uhuru wa Ghana.

March 6, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Tarehe 6 Machi miaka 66 iliyopita, nchi ya Ghana ilifanikiwa kupata uhuru chini ya uongozi wa DaktaKwame Nkurumah.

Ghana ilitumbukia katika makucha ya mkoloni wa Kireno kuanzia karne ya 15.

Baada ya Wareno, Waingereza waliidhibiti na kuikoloni nchi hiyo iliyokuwa mashuhuri kwa jina la “Pwani ya Dhahabu” kutokana na utajiri wake mkubwa wa madini hayo.

Baada ya mazungumzo na Uingereza, hatimaye tarehe 6 Machi 1957 saa sita usiku, Kwame Nkrumah alitangaza Ghana kuwa “huru milele”.

Baada ya uhuru mnamo mwaka 1957  ya Ghana ilikuwa chini ya Kwame Nkrumahambaye alitoa mchango mkubwa katika upatikanaji wa uhuru wa nchi nyingine.

Mwaka 1966 aliangushwa madarakani katika mapinduzi ya kijeshi wakati alipokuwa ziarani nje ya taifa lake.

Hatua hiyo iliwafanya waghana washerehekee majirani mjini Accra ,wakipasua picha za kiongozi huyo kuanzia maofisini hadi mabango ya barabarani.

Nkurumah alikimbilia uhamishoni nchini Guinea na baadae kufariki huko Bucharest mwaka 1972.

You Might Also Like

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi

Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya

Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa

Mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa kukomeshwa kwa silaha za nyuklia

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA March 6, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Takribani watu 247,mahakamani kuhusika na ujenzi usiokidhi viwango vya majengo Uturuki.
Next Article Chama cha baiskeli wapata hamasa ya mashindano, mdhamini mpya (+picha)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake
Top Stories September 27, 2023
Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi
Sports September 27, 2023
Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya
Top Stories September 27, 2023
Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa
Top Stories September 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

September 27, 2023
Sports

Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi

September 27, 2023
Top Stories

Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya

September 27, 2023
Top Stories

Mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa kukomeshwa kwa silaha za nyuklia

September 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?