Michezo

Mtanzania Alfonce Simbu alivyoiandika historia ya Olimpiki Brazil

on

Baada ya wenyeji wa michuano ya Olympic Brazil kushinda medali ya dhahabu kwa mara ya kwanza katika historia kwa mchezo wa soka, leo August 21 2016 mtanzania Alphonce Simbu ameingia kwenye headlines.

Mtanzania Alphonce Simbu ameingia kwenye headlines baada ya kufanikiwa kumaliza mbio ndefu yaani marathon kwa kushika nafasi ya tano kati ya washiriki wa nchi 200 walioshiriki mbio hizo, Alphonce hajafanikiwa kushinda medali ya dhahabu ila ndio mtanzania aliyefanya vizuri katika riadha kwenye mashindano ya Rio2016 Olympic.

IMG_5630 (1024x683)

Mwanariadha Alphonce Felix

ULIIKOSA HII APPLICATION ILIYOZINDULIWA KWA AJILI YA KUZUIA AJALI BARABARANI

Soma na hizi

Tupia Comments